3 February 2013

BEAUT & GIFT MAPACHA WENYE VIPAJI VINGI, NDOTO ZAO NI KUFIKA MBALI KATIKA MUZIKI WA INJILI.



 Beaut na Gift Wilson

Gift ndani ya  studio
Baada ya kufanya mahojiano na John Shabani, Tutakujuza zaidi kuhusu kinadada hawa Beaut na Gift. Endelea kutembelea blogu hii. 

Na pia kama wewe ni mwimbaji, muhubiri, mchungaji au una huduma yoyote na ungetaka tukutangazie katika blogu hii inayotazamwa na maelfu ya watu, basi usisite kuwasiliana nasi. Waweza kututumia picha yako, ya huduma yako au ya chochote unachokifanya pamoja na maelezo yako yakiambatana na historia yako. Mawasiliano:
Simu ya mkononi: 0716560094

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP