19 February 2013

SASA NYIMBO ZA JOHN SHABANI NDANI YA MILIO YA SIMU



Je ungependa nyimbo za John Shabani zisikike kama mlio wa simu kwa mtu anaye kupigia?
Ni rahisi. Kwa wanaotumia mtandao wa Vodacom nenda sehemu ya kuandika ujumbe au message kisha andika code au namba ya wimbo kisha tuma kwenye namba 15577
Mfano wimbo wa Marufuku kukata tamaa, andika GP147 kwenda namba 15577 tayari utasikika kama mlio kwa anayekupigia.

Nyimbo zingine ni:
  • Huu ni wakati wangu, andika GP1074 kwenda 15577
  • Moyo wangu                              GP663  kwenda  15577
  • Vumilia                                        GP1073 kwenda 15577
  • Neema yako                                GP678   kwenda 15577
  • Wewe ni Mungu                         GP1075 kwenda 15577
  • Marufuku kukata tamaa, andika GP147 kwenda namba 15577
Kwa wanaotumia mtandao wa tigo :

  • Wakati wa kubarikiwa kwangu    andika  namba 14023 kwenda 15007
  • Nikikumbuka                             14018  kwenda  15007
  • Vumilia                                        14021 kwenda 15007
  • Neema yako                                14016   kwenda 15007
  • Wewe ni Mungu                         14023 kwenda 15007

Mungu wangu akubariki

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP