5 February 2013

MAFUNZO YA UIMBAJI


Je wewe ni mwimbaji au unampango  au wito wa kuimba na hujui uanze je? Mwalimu John Shabani akishirikiana na waalimu wengine, wanakuletea  mafunzo maalumu ya uimbaji. Mafunzo hayo yatakusaidia  kuwa mwimbaji bora na baadaye utatungiwa nyimbo  na kukusaidia kuunganisha na studio ili urekodi nyimbo zako kwa gharama nafuu.Hii ni fursa nyingine, usipitwe. Kwa mawasiliano zaidi:
Mob: 0754818767, 0716560094
Web: www.johnshabani.blogspot.com

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP