14 April 2013

KADI ZA UANACHAMA – CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA




Kwa wale waliokuwa wanaulizia kuhusu kadi za chama cha muziki wa injili (chamuita), hizi ndizo aina ya kadi tunazotumia sasa, yakitokea mabadiliko mtajulishwa. Jiunge na chama chako cha muziki wa injili ili unufaike na fursa mbalimbali. Kumbuka mwanachama hai ni yule anayelipa ada ya kila mwaka. « Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu »

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP