20 April 2013

MCHUNGAJI BENJAMIN BUKUKU WA HUDUMA YA KWELI ITAKUWEKA HURU ATUA RASMI DAR ES SALAAM

  


 Mchungaji B. Bukuku akifundisha mamia ya watu
 Mchungaji Bukuku na mama Szan Bukuku wakiombewa na Askofu mkuu wa T.A.G, ni baada ya kumaliza masomo huko marekani.

 Mchungaji Bukuku, mama Suzan Bukuku na John Shabani wakifurahiya jambo
 
HUDUMA YA KWELI ITAKUWEKA HURU (YOHANA 8:32)

Huduma hii inaongozwa na Mchungaji Benjamini Bukuku,
Jumapili hii unakaribishwa katika ufunguzi wa mafundisho na maombezi ambayo yatakuwa yanafanyika kila siku ya Jumapili. Mahali kwenye ukumbi wa chuo cha ustawi wa jamii Bamaga. Huduma hii inaanza rasmi tar 21.4. 2013 na kuendelea, saa ni saa 1:00 asubuhi mpaka saa 3:00.asubuhi Najioni saa 10:00mpaka saa 12:30 . Mnakaribishwa wote Pia waimbaji mbalimbali wataimba kama: Victor Aron, JohnShabani, Madame Ruti, Sara Mvungi na wengine kibao. Huduma hii ya kweli itakuweka huru imewafungua na kuwaponya wengi.Mch. Benjamin Bukuku atakuwa anafundisha na kuwaombea wenye shida. 
HAKIKA YESU ATAKUTANA NASHIDA YAKO. 
                         KARIBU!

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP