THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

31 March 2012

YVONNE CHAKA CHAKA AWASHIRIKISHA SOWETO GOSPEL CHOIR KWENYE ALBUM YAKE MPYA

Chaka chaka akiwa na mumewe Dr Mandlalele Mhinga. Mwimbaji wa siku nyingi nchini Afrika ya kusini mwanamama Yvonne Chaka chaka yuko studio kwahivi sasa akijiandaa kutoa labum mpya ambayo kwa taarifa zilizopatikiana mpaka sasa katika album hiyo amewashirikisha waimbaji wengine kama Soweto gospel choir ambao juzi walikuwa studio(kwa kundi lililosalia afrika kusini wengine wako ziarani nchini Marekani) na mwimbaji huyo akiwa amewashirikisha katika...

26 March 2012

CALVARY GROUP BAND, BAND INAYOFANYA VIZURI AFRIKA MASHARIKI

Hawa si wengine, bali ni Calvary Group Band, kikundi chenye makao yake jijini Dar es salaam. Chini ya ulezi wa Askofu Moma wa kanisa la Calvary Tebernacle, band hii imekuwa ikifanya vizuri na kuwa kivutio kikubwa katika nchi kadhaa za Afrika. Siri kubwa ya waimbaji hawa kufanya vizuri ni kwa sababu pamoja na maombi, kusoma neno pia wamevunja mipaka ya ukabila, kwani ni kundi pekee lenye mchanganyiko wa watu kutoka nchi mbalimbali kama  DRC kongo...

24 March 2012

MWIMBAJI MAHIRI WA INJILI AZIDI KUNG’ARA HUKO INDIA

Mwana dada mwenye vipaji vingi azidi kufanya vizuri akiwa ugenini huko india. Huyu si mwingine bali ni Sarah shilla, mwimbaji mwenye sauti yenge mguso wa kipekeeMwana dada huyo hivi kribuni, ametunukiwa tuzo ya heshima katika chuo kimoja maarufu huko india.Akiongea na John shabani ambaye ndiye mmiliki wa blog hii, sra anasema na hapa nanukuu < ilikua tuzo nilipewa chuoni kwa kushiriki vitengo mbali mbali na vyuo vingine na kushinda...

22 March 2012

KADI ZA CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI ZAANZA KUTOLEWA KWA WANACHAMA

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

20 March 2012

DON MOEN NA WENZAKE KUPAMBA TAMASHA KUBWA LILILOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA JIJINI DAR ES SALAAM.

Umoja wa makanisa ya Dar es salaaam ukishirikiana na shirika la kimataifa la LUISPALAU association,liko kwenye mikakati la kufanya tamasha kubwa la injili la upendo maeneo ya Jangwani kuanzia mwezi wa nane hadi mwezi wa 12 mwaka huu, na tamasha hili litafanyika jijini Dar es salaam kama sehemu ya mfululizo wa matamasha ya jinsi hiyo ambayo shirika hilo imekuwa ikiyaendesha katika miji mikuu kadhaa barani Africa. Kamati ya maandalizi ya tamasha...

19 March 2012

FLORA MBASHA NA MUMEWE WAGUSA MIOYO YA WAMAREKANI

 Mabango ya huduma ya flora mbasha yalivyozangaa mitaa ya marekani Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

17 March 2012

MWIMAJI MAARUFU WA BONGO FLEVA RENEE LAMIRA, AWA MTUMISHI WA BWANA

Normal 0 false false false EN-GB X-NONE AR-SA MicrosoftInternetExplorer4 ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP