24 March 2012

MWIMBAJI MAHIRI WA INJILI AZIDI KUNG’ARA HUKO INDIA



Mwana dada mwenye vipaji vingi azidi kufanya vizuri akiwa ugenini huko india. Huyu si mwingine bali ni Sarah shilla, mwimbaji mwenye sauti yenge mguso wa kipekee
Mwana dada huyo hivi kribuni, ametunukiwa tuzo ya heshima katika chuo kimoja maarufu huko india.
Akiongea na John shabani ambaye ndiymmiliki wa blog hii, sra anasema na hapa nanukuu < ilikua tuzo nilipewa chuoni kwa kushiriki vitengo mbali mbali na vyuo vingine na kushinda ikiwemo debate, kuimba, maswala ya fashion shw,, so kutokana na kushiriki vitengo vyingi ndo nikapata hiyo tuzo>

Keep it up sister sara

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP