26 March 2012

CALVARY GROUP BAND, BAND INAYOFANYA VIZURI AFRIKA MASHARIKI

Hawa si wengine, bali ni Calvary Group Band, kikundi chenye makao yake jijini Dar es salaam. Chini ya ulezi wa Askofu Moma wa kanisa la Calvary Tebernacle, band hii imekuwa ikifanya vizuri na kuwa kivutio kikubwa katika nchi kadhaa za Afrika. Siri kubwa ya waimbaji hawa kufanya vizuri ni kwa sababu pamoja na maombi, kusoma neno pia wamevunja mipaka ya ukabila, kwani ni kundi pekee lenye mchanganyiko wa watu kutoka nchi mbalimbali kama  DRC kongo Tanzania  n.k

Tutaendelea kukujuza zaidi kuhusu Kalvary G Band.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP