5 August 2012

HABARI NJEMA KWA WALEZI NA WAZAZI WA WATOTO NCHINI


Je wewe ni mlezi au mzazi na unaye mtoto wako au wa jirani yako ambaye unahisi kwamba anakipaji chochote, kiwe cha kuimba, kuigiza, kupiga chombo chochote cha muziki, kucheza, michezo n.k
Wasiliana nasi ili aungane na watoto wenzake katika mpango wetu wa kuibua vipaji vya watoto na kuviendeleza. Mazoezi yanafanyika kila jumamosi. Kwasasa tunahitaji watoto 40 tu, na tayari tunao 25. Kuhusu maali pa mazoezi na muda pamoja na mpango wenyewe, wasiliana nasi utajulushwa. Kumbuka kwamba nusu yetu duniani ni watoto. Tuwajali na kuwadhamini watoto wetu pamoja na kuwajengea misingi mizuri itakayowasaidia baadaye.
Mawasiliano

Mob: 0754818767, 0716560094
E-mail: touchingvoice@yahoo.com

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP