2 August 2012

RAFIKI YETU NA BLOGGER MWENZETU RULEA SANGA AMEFIWA NA BINAMU YAKE MJINI MBEYA


Ni siku chache zimepita tangu bwana Rulea alipompoteza mama yake mzazi, na sasa  amefiwa tena na binamu yangu huko Mbeya. Tunaamini Mungu ni mwaminifu katika kila jambo.
Wito wangu kwa kila mwenye mapenzi mema na anayoguswa na shughuli mbalimbali anazozifanya bwana rulea hasa kwa kupitia blogu yake www.rumaafrica.blogspot.com  kwamba  tusichoke katika kutenda mema, nikimaanisha, tumtie moyo mwenzetu ili kufanikisha masula ya msiba huo. Itakumbukwa kuwa Rulea ni mmoja wa ma-blogger waliopata kibali ndani na nnje ya nchi. Tukumbuke jinsi alivyogusa mioyo ya watu mbalimbali akiwemo Mtumishi mkuu wa Mungu TB JOSHUA, hivyo kupelekea kualikwa  huko Nigeria katika huduma ya SCOAN.

Uongozi wa Blogu hii tuko nyuma yako ndugu yetu na rafiki yetu Rulea Sanga.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP