8 September 2012

HATIMAYE MDOGO WA MAREHEMU ANGELA CHIBALONZA AFUNGA PINGU ZA MAISHA




Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya, Tete Runiga amefunga ndoa takatifu nchini humo, kwa sasa anatambulika kama Tete Meshack. Tete anayesikika kwa album ya NIMEPATA RAFIKI ni mdogo wa Marehemu Angela Chibalonza . 

Uongozi wa blog hii, tunawatakia kila la heri kwenye maisha yenu mapya

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP