TANGAZO
Muhula mpya wa masomo katika chuo cha kimataifa ISOM (International
School Of Ministry) kuanza mwezi wa kumi. Hivyo wanafunzi wanaomba kuanza
kuchukua fomu, Pia wale amabao wamechukua fomu tayari, wanaombwa kuonana na msimamizi
wa chuo tawi la Dar es salaam wiki hii ili kuweka utaratibu mzuri.
ISOM ni Chuo cha kimataifa chenye waalimu wa kimataifa kama:
Joyce Meyer, Reinhard Bonnke, Dr.
Amstutz, Dr. Gill, Dr Boschman, Rev. Houston, Dr. Dick Eastman, Dr. Lamar Boschman, Dr. A. L. Gill, Dr. Marilyn
Hickey, Rev. Bevere, Dean Sherman, Dr. Amstutz, Rv. Conley, Dr. Stan Dekoven, Dk. Shibley, Dk. Feeney, Mch.
Conley, Rv. Comfort na wengine
wengi. sasa kimeanzishwa Tanzania.
John Shababani and other students attending isom class in Dar es salaam Tanzania
(John Shabani na wanafunzi wenzake wa isom wakihudhuria masomo jijini Dar es salaam)
Group
discussion with teacher Alex From Nairobi
It
was a time of glorious and transformation for all students who
attended the session, praise God!
Chuo
hiki cha kikristo chenye Makao makuu
California Marekani na kilichoenea katika nchi mbalimbali duniani zikiwemo nchi kadhaa za afrika kama Nigeria, Afrika ya kusini, Uganda, Kongo, Kenya, Malawi, Tanzania n.k, kinatoa vyeti kama: Certificate of Biblical
studies, Ministerial Diploma, Bachelor of Arts in Biblical Studies n.k. Vyeti
vinavyotolewa na Chuo hiki vinatambulika duniani kote. Ewe Mtumishi wa Mungu,
Mwinjilist, Mwimbaji, mwombaji na kila mwenye huduma, nakusii changamkia fursa
hii kwani ada zao ni nafuu kuliko maelezo.
Kwa mawasiliano:
The graduands celebrating the end of a successful 2012
Autumn Session of the International School of Ministry in Nigeria
For more infomation about isom Tanzania
Mob: 0754
818 767 au 0716560094
E-mail: touchingvoice@yahoo.com
Au
tembelea www.isom.org
www.johnshabani.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment