11 September 2012

MKALI WA KUABUDU JESCA HONORE KUJA KIVINGINE



Mwana dada pekee aliyewahi  kumiliki gari nzuri kama tuzo kwa ajili ya uimbaji wake katika tuzo za  Tanzania, Jesca Honore, sasa kuja kivingine.
Jesca  ambaye ameweza kupata kibali kikubwa sana kwa kile kinachoaminika kuwa ni uimbaji wa kipekee na kuwa na mashambulizi ya ajabu pale anapokuwa jukwaani Jesca Honore,hivi karibuni ameupamba ukurasa wake wa Facebook kwa kutoa habari juu ya video yake mpya inayokwenda kwa jina la Napokea.Aidha kwa taarifa zilizopatikana toka kwa marafiki wa nguli huyo wa muziki ambaye pia ndiye aimbaye katika matangazo mengi ya Clouds fm (jingles),wamesema kuwa video hiyo ya kwanza kwa mwanadada huyo ni nzuri na wanauhakika kuwa itapata kibali sana kwa watazamaji na mashabiki wote wa Jesca kwa ujumla.

(My first video called NAPOKEA,has this crip!!BE EXITED TO SEE IT ON AIR,VERY SOON!!thenx to xclusive media!!and all beautiful friends who srported me on it!!John Honore,Magdalena John(dorling),upendo(lovly young sis)casian,Ely jo!,Nansi Nsajigwa!!..I love u all!!) hivi ndivyo alivyo andika Jesca katika ukurasa wake wa Facebook.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP