2 January 2013

TD Jakes Ministries na mkesha wa ki-historia ndani ya The Potter's House huko Dallas



The Potter's House of Dallas







Maefu ya watu waliupamba mkesha mkubwa wa kuukaribisha mwaka 2013 huko Dallas Marekani katika nyumba ya ibada ya The Potter's House. 

Mkesha huo uliongozwa na TD Jakes, Askofu na muhubiri wa kimataifa anayetamba duniani.

Mkesha huo pia ulipambwa na waimbaji mbalimbali mashuhuri.
Kabla ya mkesha huo matangazo mbalimbali yalienea kote marekani na kupitia mitandao kuhusu mkesha huo.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP