4 January 2013

VIDEO MPYA YA JOHN SHABANI HIYOOOOO!

Ni video iliyowashirikisha waimbaji kibao.
Jiandae kujipatia copy. Itasambazwa na Msama promotions Ltd.
Kwa wale walikuwa wakiulizia video hii, Wasiliana na ofisi za kampuni: 0713383838.

1 comments:

martmalecela.blogspot.com said...

Haya ubarikiwe kwa kuwaunganisha waimbaji wengi katika nyimbo zako ila ushirikiano unatakiwa sana kwa waimbaji wengine wafuate nyayo zako

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP