27 March 2013

ASKOFU KITONGA KUWA MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA CHUO CHA KIMATAIFA CHA HUDUMA - DAR ES SALAAM

 Kiongozi wa makanisa ya Redeemed Duniani, Bishop Arthur Kitonga


Isom (International school of ministry) ni chuo cha kimataifa kilichoenea zaidi ya nchi 145 duniani na kufundishwa katika lugha zaidi ya 60 za kimataifa. Chuo hiki cha kikristo tayari kimefungua tawi Tanzania. Kwa Dar es salaam kinajulikana kwa jina la Vision Outreach Bible College.  Kwa mara ya kwanza mahafali ya chuo hiki yatafanyika Dar es salaam tarehe 7/04/2013. Mgeni rasmi na Baba wa Kiroho kutoka Kenya na kiongozi wa makanisa ya Redeemed Gospel Church duniani, Askofu Arthur kitonga. Atakayegawa vyeti ni Dr Lee (mwakilishi wa ISOM kutoka makao makuu ya chuo – California Marekani) John Shababni pamoja na wanafunzi wote tunakukaribisha. Usisahau kujaza kadi ya mwaliko.


More about ISOM (International school of ministry) Baadhi ya picha za mahafali ya ISOM ulimwenguni pamoja na jumbe kutoka kwa baadhi ya waalimu, akiwemo Dr. Bonnke, Joyce Meyer na T. L. Hosborn. 


 Isom graduation - Usa
 
 Isom graduation - Phillipine

 Baadhi ya waalimu wa Isom







0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP