13 March 2013

JESSICA HONORE KUWEKA HISTORIA




Siku ya tarehe 24 mwezi huu wa tatu mwimbaji maarufu wa muziki wa injili nchini Tanzania Jessica Honore atafanya uzinduzi wa album yake ya kwanza inayojulikana kwa jina la NIMEZIMA UKIMYA katika kanisa la CCC Upanga kwa kiingilio cha tsh 15000/=
Mwimbaji huyo atasindikizwa na waimbaji kama vile Vocapela,James Honore,Mirium Mauki,Doxas,Upendo kilahiro,Glorious Worship Team,RTM Band na wengine wengi.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP