16 March 2013

KUMBE JEAN FELIX SIO MCHUNGAJI WA MAMA RWAKATARE




Mtu anayedaiwa  kuwa mchungaji wa Mama Rwakatare bwana Jean Felix,  kumbe si mchungaji wa kanisa hilo la mikocheni. Baada ya watu mbalimbali kusoma habari za mtu huyo kwenye vyombo mbalimbali vya habari, waliweza kufuatilia habari za mtu huyo na kugundua kuwa ni mwinjilisti tu anayezunguka sehemu mbalimbali duniani. 

Kwa mujibu wa ukurasa wa facebook wa mchungaji huyo hapo chini, unaonyesha kuwa ni mmishonari anayeishi Kenya akitokea Paris Ufaransa.


Hata hivyo ni kweli baada ya kuhubiri makanisa kadhaa Tanzania, aliomba kuhubri katika kanisa la mikocheni kama ambavyo wahubiri mbalimbali wamekuwa wakifanya hivyo.

Chini ni baadhi ya picha mbalimbali za ziara za muhubiri huyo duniani.












0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP