2 March 2013

MAANDALIZI YA GRADUATION YA KWANZA KWA WANAFUNZI WANAOSOMA CHUO CHA ISOM YANAENDELEA VIZURI, MAASKOFU NA WATUMISHI MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NNJE YA NCHI KUHUDHURIA.
Berin and Lisa Gilfillan ~ Good Shepherd Ministries,
Founders International School of Ministry Tarehe 7 April ndio siku ambayo wanafunzi wa chuo cha kimataifa cha huduma (International School of Ministry) watafanya mahafali yao ya kwanza. Mahafali  hayo yanatarajiwa kuhudhuriwa na wageni mbalimbali mashuhuri kutoka ndani na nnje ya  nchi akiwemo Askofu Kitonga kutoka Kenya, Askofu Kulola kutoka Tanzania, 
 Askofu Arthur Kitonga - Kenya

 Askofu Kulola - Tanzania
 
Watumishi kadhaa kutoka marekani na ulaya pamoja na wageni mbalimbali.

Baadhi ya wanafunzi watakaohitimu siku hiyo ni pamoja na Mwalimu wa muziki wa injili, John Shabani. Kwa habari zaidi kuhusu Chuo hicho tembelea: www.isom.org

Reactions:

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP