6 March 2013

ILE SEMINA YA UKARABATI WA MAISHA YA KIROHO INAENDELEA KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO, MAMIA YA WATU WAENDELEA KUFUNGULIWA KATIKA SEMINA HIYO





Haijawahi kutokea, ni semina ya ajabu iliyogusa mioyo ya wengi. Mwalimu katika semina hiyo ni Mchungaji  kiongozi wa kanisa la Mikocheni B’ Assemblies of God, DK. Gertude Rwakatare.  Somo la jana “DAWA YA MTU ALIYEPOA KIROHO “ limewaponya wengi.
Bado hujachelewa, karibu leo na kesho  ili uungane na maelfu wanaobarikiwa na semina hii.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP