17 June 2013

ASKOFU T. D JAKES ASHEREHEKEA MIAKA 56 YA KUZALIWA Bishop Jakes 56th Birthday Celebration






Ilikuwa ni siku ya Nderemo na vifijo Kwa familia ya Mtumishi huyo wa Mungu anayejulikana kote duniani, pamoja na kwa waumini wa  The Potter's House of Dallas na marafiki mbalimbali, hasa pale kiongozi  huyo wa kiroho aliposogeleana First Lady, mama Jakes na kupeana busu takatifu.  Sherehe hiyo imehudhuriwa na maelfu ya watu kutoka ndani na nje ya Dallas. Pia vikundi mbalimbali vya uimbaji vilimtukuza Mungu kwa kumtunza Mtumishi.

 "Sir, you are a blessing to our generation.
May God's blessings increase abundantly in your life.
We love you"
 

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP