4 June 2013

KWA MSAADA WA MUNGU, TUTAKUSAIDIA KUWA MWIMBAJI BORA



DARASA LA SAUTI NA UIMBAJI
Nawapongeza sana waimbaji na wote wanaoendelea kuhudhuria darasa la sauti na uimbaji (Vocal Training Program).  Hujachelewa bado, karibu kila siku ya jumanne, alhamisi na jumamosi. Ni saa kumi kamili, ni pale kinondoni studio, ndani ya ukumbi wa kanisa la Maximum Deliverance church. Na juma pili ni katika ukumbi wa chuo cha ustawi wa jamii – sinza, ni saa 8 – 10 mchana
Mawasiliano: 0716560094.
 
Tunaendelea na somo la sifa za kuwa mwimbaji bora(How To Sing Better or to become batter singer) jinsi unavyoweza kuitunza sauti. Pia nitagusia sifa za kuwa albam bora
                                                          Karibu!

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP