30 June 2013

UWEPO WA MUNGU WAENDELEA KUJIDHIHIRISHA KUPITIA HUDUMA YA MCHUNGAJI KIJANA - JOHN SHABANI


Kwa neema ya Mungu, mamia ya watu wameendelea kutubu dhambi zao na kufunguliwa kupitia huduma ya Mchungaji kijana John shabani. Kizazi hiki kinamuhitaji Mungu. Kwa maombi yako na yangu, Mungu wetu atajidhihirisha na kukiponya kizazi chetu.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP