6 July 2013

MIKOCHENI B ASSEMBLIES OF GOD (MLIMA WA MOTO) MAALI AMBAPO MAELFU YA WATU WAMEFUNGULIWA NA KUWEKA HURU KWA JINA LA YESU




  Dr. Getrude Rwakatare
Mchungaji kiongozi wa Mlima wa moto

 Mchungaji Rwakatare, akienda sambamba na kwaya yake ya Joybringers

 Sehemu ya kanisa la Mlima wa Moto (Mountain of fire) Mikocheni B' Assemblies of God

Sarah K 

Hakika jina la Mlima wa moto limejulikana kote Tanzania, Afrika na ulimwenguni. Ni kituo ambacho Maelfu ya watu wamekuwa wakifunguliwa na kuwekwa huru kwa  jina la Yesu.

Juma pili hii, Mchungaji kiongozi wa Mlima wa moto, Dk. Getrude Rwakatare anakukaribisha sana. Acha kuteseka njoo uhudhurie ibada zenye uvuvio wa Roho Mtakatifu, njoo ukutane na Yesu mtenda miujiza.

Mbali na Mahubiri na maombezi, pia waimbaji  waliojaa uwepo wa Mungu wataimba. Jumapili hii, waimbaji watakaomtukuza Mungu ni: Joybringers na Happy kwaya (Kwaya za mlima wa moto)
Sarah K kutoka Kenya, Samson kabata na wengine wengi.
 
Karibu sana

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP