13 October 2013

JOHN SHABANI AKIONGOZA MAELFU YA WATU KATIKA KUSIFU NA KUABUDU










Hakika, watu wamesifu na kumwabudu Mungu kwa viwango vingine ndani ya kanisa la Mlima wa Moto. Ilikuwa ibada ilijaa uwepo wa Mungu na shuhuda za ajabu na zilizosisimua mioyo ya watu. Watu wamebarikiwa na kufunguliwa kutokana na vifungo mbalimbali. Pia mamia ya watu wamempokea Bwana yesu.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP