1 October 2013

NUNUA DVD MPYA YA MWALIMU JOHN SHABANI







Hatimaye ile DVD uliyokuwa unaisubiri kwa hamu ya kwake John Shabani (Mwalimu wa muziki waInjili Afrika mashariki), sasa inapatikana katika maduka ya Msama promotions.

Ni video yenye nyimbo zitakazo kutoa maali fulani na kukupeleka  mahali fulani. Hakika, utabarikiwa, utajengwa na kuinuliwa katika kiwango kingine. Ni Video iliyoshirikisha waimbaji mbalimbali kama: Cosmas Chidumule, Upendo Kilahiro, Faraja Ntaboba, Christina Matai, John Komanya na wengine kibao.

Ili kuwasiliana na ofisi ya msama piga simu:  0713383838
Ubarikiwe sana.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP