THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

27 January 2014

WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA HUDUMA(ISOM) WAFANYIWA MAOMBI NA KUPAKWA MAFUTA.

 Wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja na Askofu Kitonga baada ya maombezi na kupakwa mafuta  Maombezi Uwepo wa Mungu usio wa kawaida ulishuka baada ya ibada ya kupakwa mafuta  Mchungaji Lusi na Askofu Kitonga    Mama wa miaka zaidi ya 70 akiwa miongoni mwa wahitimu  Mr. Gabriel Omary na Askofu Kitonga  Mtumishi Rose Sarwatt  na Askofu Arthur Kitonga  John...

20 January 2014

LUCY NATASHA NA PRINCESS MONICAH, KINADADA WANAOTUMIA MUDA WAO VIZURI KATIKA KUMUHUBIRI YESU DUNIANI

Yakitajwa majina ya kinadada waliotumia ubinti wao katika kumtumikia Mungu duniani, basi majina ya Natasha na Monica lazima yatajwe. Kina dada hawa kutoka Kenya wamekuwa wakizunguka Afruka na duniani, kwenye mikutano ya injili, semina na makongamano, wakifundisha na kuhubiri. Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

17 January 2014

MORE ABOUT REV. DR, LUCY NATASHA

 Rev. Lucy Natasha with his mother Dr. Rev. Esther Wanjiru "Natasha is the founder and visionary of prophetic latter glory Ministries International and interdenominational outreach  ministry. Just a single lady but holding the fire of the Holy Ghost. She is traveling all over the world preaching the gospel of Jesus Rev. Natasha in Zimbabwe Rev Natasha in Nigeria Rev. Natasha in Rwanda Rev...

10 January 2014

SAFARI YA MWISHO YA MZEE WETU GERALD ELISHA (KAKA MKUBWA WA MCHUNGAJI SHUSHO)

 John shabani akiwa ameshikilia picha na msalaba wa mzee Elisha  Christina Shusho, akionekana mwenye huzuni wakati wa kuuaga mwili wa mzee Elisha Baadhi ya maaskofu na wachungaji  Wengi wamedondoka chini wakati wa kuuaga mwili Ni kipindi cha majonzi na huzuni kubwa kwa familia ya Mchungaji Shusho (Mume wa Christina Shusho) kwa kuondokewa na kaka mkubwa, ambaye ndiye aliyekuwa amebaki kama Baba wa...

MORE ABOUT CHRISTINA SHUSHO ( SHUSHO BIOGRAPHY)

           Born in Kigoma Tanzania mid days of November to a born again Christian family and had a religious upbringing. At age of 15 years she gained her own salvation up to now. Christina Shusho is an exemlary icon of ages in Gospel industry who grown to be a renowned global arrtist in her self-nurtured and well groomed talent in singing inspiration music Once a church cleaner that enjoyed...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP