7 January 2014

"ECK PRODUCTION" KATI YA STUDIO ZILIZOONGOZA KUFANYA VIZURI MWAKA 2013



Producer Enock Nyongoto

Mjerumani akifanya mambo yake ndani ya Eck Production

Peace Mulu na Bahati Bukuku nani ya Eck Production

Rose Muhanda
 John shabani na Cosmas Chidumule


Bony Mwaitege na Jenifer Mgendi

Benjamin na Faraja Ntaboba


Dogo BS

Producer Eck na Producer Kameta

Tedy Paul na Edson Mwasabwite

 Nikiwa mwalimu wa nyimbo za injili Tanzania pamoja na blogu (www.johnshabani.blogspot.com), naipongeza sana studio ya Eck production pamoja na mmiliki wa studio, Mr. Enock Nyongoto, kwa kufanya vizuri sana mwa 2013.
wapo waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili, wakiwemo wale wenye majina na ambao sasa wameanza kujulikana kwasababu ya kazi nzuri ya Eck production. Waimbaji kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Edson Mwasabwite, John Shabani, Faraja Ntaboba, Bony mwaitege, Peace Mulu, Neema Mwaipopo, dogo Dani wa ibada njema, Manesa sanga na wimbo wake  “Huyo ni chaguo lako” Tedy Paul, Jenifer Mgendi, Isys Msangi wa shetani imekula kwako, Furaha Isaya pamoja na kwaya na waimbaji mbalimbali kutoka ndani nan je ya nchi.


Najua studio zipo nyingi, ikiwa unaifahamu studio iliofanya vizuri pia katika nyimbo za injili, nitumie jina na orodha ya waimbaji. Lengo ni kuwapongeza wote wanaofanya vizuri katika kuieneza injili ya Bwana Yesu kwa njia yoyote ile.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP