27 January 2014

WANAFUNZI WA CHUO CHA KIMATAIFA CHA HUDUMA(ISOM) WAFANYIWA MAOMBI NA KUPAKWA MAFUTA.




 Wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja na Askofu Kitonga baada ya maombezi na kupakwa mafuta

 Maombezi

Uwepo wa Mungu usio wa kawaida ulishuka baada ya ibada ya kupakwa mafuta


 Mchungaji Lusi na Askofu Kitonga



 Mama wa miaka zaidi ya 70 akiwa miongoni mwa wahitimu

 Mr. Gabriel Omary na Askofu Kitonga

 Mtumishi Rose Sarwatt  na Askofu Arthur Kitonga


 John Shabani na Askofu Kitonga

Mama Mary Nyerere na Askofu Kitonga

Imekuwa ni ibada ya kipekee, uwepo wa Mungu umejidhihirishi isivyo kawaida. Ibada hiyo ijulikanao kama sendoff service, imeongozwa na Askofu Arthur Kitonga, ambapo wanafunzi waliomaliza masomo yao kwa ngazi ya degree na wale wa diplomakatika chuo cha ISOM, wamefanyiwa maombi maalum.


John Shabani, Mchungaji Lusi, mama Bumi Nyerere, Mtumishi Rose Sarwatt ni miongoni mwa wanafunzi waliofanyiwa maombezi hayo.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP