4 January 2014

USIKU WA KUSIFU NA KUABUDU NDANI YA ATN WAFANA SANA



 John Shabani akiwa na Askofu Vernon na Anny Fernandes (wamiliki wa Agape Television Network)








Ulikua ni usiku wa pekee ndani ya kanisa la Agape linaloonozwa na mchungaji Anny Fernandees chini ya uongozi wa Askofu Venon Fernandees.

Waimbaji mbalimbali na vikundi vya kusifu na kuabudu wamemtukuza Mungu. Huo ni mwendelezo wa mikakati ya mwaka huu ya kanisa hilo, ambalo limepanga kuwa na matamasha mbalimbali ya kumsifu Mungu. Tamasha lingine litafanyika mwezi wa pili tarehe 14, siku ya wapendanao.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP