10 January 2014

SAFARI YA MWISHO YA MZEE WETU GERALD ELISHA (KAKA MKUBWA WA MCHUNGAJI SHUSHO)

 John shabani akiwa ameshikilia picha na msalaba wa mzee Elisha

 Christina Shusho, akionekana mwenye huzuni wakati wa kuuaga mwili wa mzee Elisha


Baadhi ya maaskofu na wachungaji



 Wengi wamedondoka chini wakati wa kuuaga mwili



Ni kipindi cha majonzi na huzuni kubwa kwa familia ya Mchungaji Shusho (Mume wa Christina Shusho) kwa kuondokewa na kaka mkubwa, ambaye ndiye aliyekuwa amebaki kama Baba wa familia hiyo. Mamia ya watu wakiwemo maaskofu, wachungaji, marafiki wa karibu, wamejitokeza maeneao ya Tabata kuuaga mwili wa mzee huyo.

Mzee Elisha, amekuwa mwalimu kwa miaka mingi na kujizolea heshima kubwa ndani nan je ya nchi. Inawezekana ulikuwa hujazipata habari hizi, basi nikiwa ndugu na rafiki wa karibu wa familia ya Shusho, nakujulisha rasmi.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake na lihimidiwe

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP