THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

28 May 2014

ASKOFU MABOYA AZIDI KUWASHA MOTO WA INJILI MAREKANI

Ni semina ya pekee ndani ya Pennsylvania - USA Kati ya watumishi wakitanzania ambao wamekuwa wakigusa mioyo ya wamarekani ni pamoja na  mkuu wa makanisa ya Calvary Assemblies of God, Askofu maboya. Tarehe 20 – 22/6/2014 ni semina kubwa ndani ya kanisa la Norristown New life church huko Pennsylvania. Katika semina hiyo yenye ujumbe wa “Nguvu ya Roho mtakatifu, chakula kitatolewa bure kwa kila atakayehudhuria Watu wote wa maeneo...

27 May 2014

RAIS BORA DUNIANI ASIYEAMINI KUHUSU UWEPO WA MUNGU

Normal 0 false false false EN-ZA X-NONE X-NONE ...

PAPA ASHUTUMU MAPADRI WALAWITI KANISANI

Mkuu wa kanisa katoliki, papa Francis  alipokua ziarani huko mashariki ya kati   Mkuu wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, amewasili Roma baada ya kukamilisha ziara yake ya siku tatu Mashariki ya Kati ambapo alisema kuwa tabia ya baadhi ya mapadri Wakatoliki waliokuwa wakiwanyanyasa watoto wadogo kingono kanisani inaweza kulinganishwa tu na misa ya Mashetani. Baba Mtakatifu alifanya ziara ambayo ilihudhuriwa na maelfu ya watu...

MUNGU NI MWEMA, OPERESHENI YA DEBORA JOHN IMEENDA VIZURI

Dada Debora baada ya oparesheni Hapa mama mchungaji, Debora John akimsifu Mungu,  huku akienda sambamba na  Mch. John Bagenyeka Normal 0 false false false EN-ZA X-NONE X-NONE ...

26 May 2014

DEBORA JOHN HALI YAKE SIO NZURI. SEMA NENO JUU YAKE

Kila unapopiga goti, usisahau kumwambea dada yetu Debora John Said, hali yake bado si swari Normal 0 false false false EN-ZA X-NONE X-NONE ...

Mbunge Vicky Kamata augua

 Augua ghafla, alazwa hospital, daktari kasema hatoweza kuhimili mikikimikiki ya harusi Ndoa yake gizani Paroko kanisa katoliki asema hakukidhi vigezo ya kufunga ndoa Normal 0 false false false EN-ZA X-NONE X-NONE ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP