6 May 2014

RUMAFRICA KUACHIA TSHIRT BOMBA




                          Tuvipende na kivichangamkia vyakwetu, Jipatie Tshirt hizi nzuri

Mbali na kupendeza pia utakuwa bango la Yesu Kristo. Ujumbe ulio katika tshirts hizi utamkumbusha yule aliyemsahau Yesu Kristo kuwa mwokozi wake, utamfanya amrudie Yesu. Umefika wakati wa kuwa balozi wa Yesu kwa viwalo vyake. Tumechoka na viwalo vya kidunia. Sasa tunatakiwa kuwa wazalendo, tupende vyetu kama watu wa Mungu.

Wito wangu kwako, huu ni wakati wa kuwaunga mkono watu wa Mungu wanavyofanya vizuri kwa utukufu wa Mungu na pia kwaajili ya kujikimu kimaisha. Inapendeza kuona wewe uliyeokoka ukifika  katika ofisi za Rumafrica zilizopo maeneo ya Sinza Afrikasana na kujipatia fulana hizo nzuri, acha kununua fulana zenye maandishi na picha tata.
Wasiliana na mzee wa Rumafrica kwa simu +255 715 851523

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP