19 May 2014

UJUMBE MZITO KUTOKA KWA GAMA DANIEL MWASUMBI

 Huyu hapa ni Gama Daniel Mwasumbi, 
mtoto wa kiume wa Mch. Daniel Mwasumbi

Picha ya Mch. Mwasumbi katika cover ya video yake 
ijulikanayo kwa jina la mkuyu uliokauka

Ikiwa ni takriban miezi 10 tangu kipenzi cha wengi na mkongwe wa muziki wa injili Tanzania, Mch. Daniel Mwasumbi kuhukumiwa kifungo jela, hapo chini ni ujumbe mzito alioandika rafiki yetu Gama Mwasumbi (Mtoto wa Mchungaji Mwasumbi):

“PESA unauwezo mkubwa sana wakufanya mema na Mabaya kwa wakati mmoja.PESA unauwezo mkubwa sana wa kupenya hata kule ambako kibinadamu inaonekana ngumu.Nimekuona ukifanya kazi Mahakamani, Hospitalini, hata Makanisani.Una uwezo mkubwa sana wa kupindisha ukweli na ukaufanya Uongo uonekane Mwema.Watu wameuwa, wametapeli, wamefanya uasi wa Ajabu lakini PESA ukawahifadhi.
Asilimia kubwa mara nyingi asiyekuwa na wewe hana HAKI.
Nimeadhimia kukutafuta wewe Bwana Mkubwa PESA na nimeadhimia kwa Nguvu zote na akili zote ntakupata, kwasababu wewe ni Jibu la mambo yote.
Forgive me my Father if I had Money usingekuwa unateseka Jela mpaka sasa I tried tried to get you out of there, for something you didn't do it, lakini wale wenye PESA zao waliokuweka hapo bado wanaona ni vyema uendelee kuwepo hapo ndani.
I MISS YOU PAPS”!

Kila unapopatapiga magoti kumwomba Mungu,
basi ikumbuke pia familia hii!

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP