20 May 2014

ALIYEKUWA ASKOFU MKUU WA MALAWI ASSEMBLIES OF GOD NI MMOJA KATI YA WAGOMBEA WA URAIS WA MALAWI

Kwa habari zaidi kuhusiana na mtumishi huyo wa Mungu aliye amua kujikita katika siasa, huku akiwa na ndoto nyingi za kuwa rais wa malawi, tembelea tofuti yake: www.chakwera.com



Leo Taifa la malawi linapiga kura kuchagua Rais wa Taifa hilo kwa awamu nyingine...moja kati ya wagombea ni Dr Lazarus Chakwera ameingia kwenye siasa akitokea kuwa Askofu Mkuu wa Malawi Assemblies of God(MAG),Mwenyekiti wa Assemblies of God Africa,Mwenyekiti wa Board wa All Nations Theological Seminary...n.k;Nimependa ujasiri wake wa sio tu kusemea madhabahuni au kwa waumini wake kimya kimya akaamua kujitosa na kutengeneza mfano kwa vitendo,sijui kama atashinda ila naamini akishinda atakuwa mfano wa kuigwa kwa maraisi wa Africa,he is a leader and Africa tuna tatizo la viongozi,wanasiasa tunao wengi tu....

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP