THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

30 July 2014

HATIMAYE ALINE VYUKA ATUA DAR

Kushoto ni John Shabani akifuatiwa na mgeni wake kutoka USA, mwana dada Aline Vyuka pamoja na rafiki zetu wengine baada tu ya kutua Dar es salaam Hapa ni shilo studio, sehemu ya kupata kifungua kinywa na msosi Hapa kazi imeanza ndani ya shilo studio Ashukuriwe Mungu wetu kwa kumfikisha Aline Vyuka salama hapa Bongo. Najivunia kuwa na mwanafunzi mwenye bidii kama huyu. Tumekuwa tukifanya masomo ya uimbaji (Singing lessons) kwa njia...

28 July 2014

HONGERA FURAHA ISAYA

 Furaha isaya akiimba kwa hisia katika tamasha aliloliandaa mwenyewe, ndani ya ukumbi wa Urafiki Social Hall - Dar es salaam  Furaha Isaya sambamba na mwalimu John Shabani wakishusha uwepo Hii ni timu nzima iliyomsaidia furaha kuimba live. Hongera Furaha Isaya kwa kuthubutu kufanya tamasha la live, pia kunishirikisha mimi kama mwalimu wako kikamilifu. Najua zipo changamoto nyingi pamoja na gharama, jambo ambalo hata waimbaji...

26 July 2014

CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI CHASABABISHA DAR ES SALAAM- JANUARY MAKAMBA AONGOZA MKUTANO WA WANAMUZI WA MUZIKI WA INJILI NA WASAMBAZAJI NA TAASISI MBALIMBALI ZINAZOHUSIKA NA MUZIKI TANZANIA

Katika kikao hicho Mh. Januari Makamba aliweza kutoa hutuba ndefu yenye ufasaha kwa wanamuziki wa Injili Tanzania. Hotuba yake ilikuwa na matumaini kwa wanamuziki na iliweza kuwafurahisha sana wanamuziki hawa hasa pale alipoweza kutoa ahadi zake za kukisaidia Chama Cha Muziki wa Injili Tanzania ikiwemo kuwaahidi kuchangia katika kufanikisha zoezi la kuwa na Channel ya TV ya waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, kuwa na studio ya kisasa itakayomilikiwa...

22 July 2014

PAMOJA NA KEBEI NA KUZOMEWA MCHUNGAJI STELLA AENDELEA KUHUBIRI INJILI

 Mchungaji Stella Mahiga akiendelea kuchapa injili maeneo ya k/koo Huku akiendelea kuhubiri, huku akizomewa na kundi la watu Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

18 July 2014

VIONGOZI WA CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA KANDA YA KASKAZINI WAFANYA VIKAO KWA MAENDELEO YA CHAMA

CHAMUITA ni Chama cha Muziki wa Injili Tanzania ambacho kinasimamia haki za mwanamuziki wa Injili Tanzania nzima. Chama hiki chenye malengo mazuri ya kuhakikisha mwanamuziki hatokwi na machozi kwa kuonewa kupata kile alichotarajia kukipata kutokana na jasho lake la kumtumikia Mungu kwa njia ya muziki. Mwanachama wa chama hiki ni yule tu aliyejiunga na chama hiki cha  CHAMUITA na kupata kitambulisho halali kutoka kwa...

HAYA NDIO MAVAZI YALIYOKATAZWA KANISANI

Asomaye na afaham...

16 July 2014

APOSTLE ALOIS RUTIVI INVITES YOU TO THE GO YE FORTH CONFERENCE – NAIROBI

Normal 0 false false false EN-ZA X-NONE X-NONE ...

14 July 2014

Welcome to Dorcus Christian Ministries “Embassy of God on Earth”

v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} Normal 0 false false false EN-ZA X-NONE X-NONE ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP