6 July 2014

WAZO LA LEO: JE WEWE NI MWEMA SAAANA KULIKO HAWA?



Je unapozitazama picha za Michael Jackson, Kanumba, Princess Diana, Amina Chifupa, Chibalonza, Whitney, Nyerere na mzee Mandela, Sedekia, Bob Marley, Lucky Dube, Aaliyah na wengine wengi, unajifunza nini?

Je wewe ni bora kuliko hawa walio tutangulia,
au wewe ni mwema sana?
au umemlipa nini Mungu?

Mche Mungu, ishi vizuri na watu, uzuri, elimu, cheo, kipato isiwe sababu ya kuwadharau na kuwakandamiza wengine…

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP