5 July 2014

MERY SWALA – M.C ANAYESIFIKA NA KUKUBALIKA




 Mary kikazi zaidi


 Mary swala katika pozi la kawaida


Mary swala akiabudisha

Kwa wakazi wa Mbeya na Iringa jina la Mary Swala si ngeni sana;
Mwana dada huyu mwenye historia ndefu, amekua kivutio cha wengi kwa kazi zake za u M.c au mshereheshaji kwenye ma harusi, matamasha, na shughuli mbalimbali za kiroho na kijamii.

Kabla ya kuokoka Mary aliwahi kuwa mtu wa starehe mbalimbali huku akiwa mtaalamu wa kukata kinywaji cha kila aina na mchezaji mzuri kwenye madisko na klabu mbalimbali, na baadaye alikutana na Yesu na kuamua kuokoka.

Hivi sasa Mary, mwanadada mwenye sauti nzuri katika kuongoza sifa na kuabudu, yuko jijini Dar es salaam, na yuko tayari kwa mialiko ya kusherehesha kwenye,maharusi, matamasha na shughuli mbalimbali. Tusiandikie mate, ikiwa unashughuli yako, mpigie: 0713 003 820 au 0766 932 688

Mungu akubariki

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP