10 July 2014

MILCA KAKETE KUTENGENEZA VIDEO YAKE MPYA YA KUABUDU HUKO OHIO - USA



 Milca Kakete ndani ya Kanisa la Toronto Internatinal Celebration Church
Pastor Peter Youngren akitambulishwa Milca Kakete Kanisani Toronto Internatinal Celebration Church kabla kuanza kuimba
 Milca Kakete akishusha uwepo
 Milca kakete na timu yake
 kipindi  cha MilcaGospelTv kikifanya mahojiano na kundi la muziki wa Injili Krystaal toka nchini Canada
kakete na Album mpya-Nakung'ang'ania

Mwimbaji na mwalimu wa muziki wa injili, anayefanya vizuri huko majuu MILCA KAKETE, atakua jijini  CINCINNATI,OHIO kwa weeki nzima tayari kwa ajili ya kutengeneza video ya albam yake mpya ya kuabudu, TIME KINGDOM MEDIA chini ya kijana ALEX watahakikisha kuwa wanafanya kitu cha tofauti kabisa.

ALL THE BEST
kwa Milca Katete na kwa wate wanaosababisha!


0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP