2 July 2014

MATUKIO MBALIMBALI YA SEMINA YA BISHOP MABOYA PENNYSLVANIA - USA

 Bishop Maboya akiombea wagonjwa




Ilikuwa ni Semina ya baraka na uponyaji kwa jina la Yesu Kristo. Askofu Dunstan Maboya alihudumu katika kanisa la Norristown New Life Church na Mungu alionekana kwa jinsi ya pekee katika ishara na miujiza.
Siku ya Ibada ya Jumapili tarehe 22 June 2014 ilifanyika kwa lugha tatu, Kiswahili, English na Kispanish.






Tulibarikiwa sana na waimbaji walioongoza sifa na kuabudu Pastor Peter Ngoso Kutoka Ohio, Milca Kakete kutoka Canada, Pastor Brenden Biggs kutoka Idaho na Faith Destiny kutoka Ohio.



                                 Dada Milca Kakete, Pastor Brenden Biggs na Dada Faith Destiny
                                                               wakiongoza nyimbo za Kuabudu
                                                                   Pastor Ngosso akiongoza Sifa


Ikimpendeza Mungu Bishop atarudi tena mwakani.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP