30 July 2014

HATIMAYE ALINE VYUKA ATUA DAR


Kushoto ni John Shabani akifuatiwa na mgeni wake kutoka USA, mwana dada Aline Vyuka pamoja na rafiki zetu wengine baada tu ya kutua Dar es salaam
Hapa ni shilo studio, sehemu ya kupata kifungua kinywa na msosi
Hapa kazi imeanza ndani ya shilo studio

Ashukuriwe Mungu wetu kwa kumfikisha Aline Vyuka salama hapa Bongo. Najivunia kuwa na mwanafunzi mwenye bidii kama huyu. Tumekuwa tukifanya masomo ya uimbaji (Singing lessons) kwa njia ya mtandao na sasa nimempokea rasmi Dar es salaam baada ya safari ndefu kutoka huko kwao kwa Mr. Obama. Tayari kazi rasmi ya kuandaa nyimbo kwa mfumo wa audio na video imeanza.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP