30 December 2012
29 December 2012
VIONGOZI WA CHAMUITA WAMTEMBELEA MZEE MAKASY
06:37
No comments
.jpg)
Viongozi wa Chama
chamuziki wa injili Tanzania wakiongozwa na Mchungaji Cosmas
Chidumule, wamemtembelea mzee Makasy ili kumjulia hali pamoja na
kumkabidhi mchango kwa ajili ya matibabu. Mwimbaji huyo mkongwa na
mshauri wa chama cha muziki wa injili Chamuita
Tanzania, amekuwa akisumbuliwa na tatizo la macho. Viongozi
waliomtembelea Mzee makasy ni: Addo
November Mwasongwe, John shabani, Stella Joel pamoja na Mzee
cosmas Chidumule. Endapo utaguswa...
27 December 2012
26 December 2012
21 December 2012
HATMAYE ALBUM YA DEBORA SHABANI IKO TAYARI
05:22
No comments

Kwa wale wapenzi wa nyimbo za Debora Shabani, sasa album hiyo ijulikanoayo kwa jina la Amesikia kilio chako iko tayari kwa mfumo wa Audio huku tukiendelea na mchakato wa kutengeneza video. Unaweza ukaipata kwa bei ya jumla na rejareja. Mungu akubari...
20 December 2012
KONGAMANO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI l LATIKISA DAR ES SALAAM, PIA CHAMUITA WAIOMBA SERIKALI KUWABANA MAHARAMIA WA KAZI ZA MUZIKI
11:20
No comments

Waimbaji mbalimbali na wadau wa muziki wa injili ndani ya ukumbi wa wanyama hotel sinza
...
Subscribe to:
Posts (Atom)
HEART OF WORSHIP
