6 July 2012

ESTHER BUKUKU, AN UPCOMING TANZANIA GOSPEL ARTIST MWIMBAJI WA INJILI ANAYEKUJA KWA KASI NCHINI TANZANIA.


Asther akihudumu


UJUMBE WA ESTHER KWA MMILIKI WA BLOG HII
Natumai u mzima wa afya njema Mtumishi wa MUNGU kaka yangu John Shabani
kwa upande wangu MUNGU amekua mwema sana, ananipigania na kuniwezesha kwa kila jambo.

Pia katika huduma hii ya uimbaji nimemuona akiniwezesha juu ya kazi yake, kwani malengo yangu ni kuufikia ulimwengu juu ya huduma hii ya uimbaji , maendeleo ni mazuri tangu nilipo zindua albamu inayo kwenda kwa jina la WATESI WANGU mwaka 2011 mwezi wa nane nimekua nikipata sana kibali cha kufanya mikutano ndani ya Inchi yetu ya Tanzania na Hapo jirani Inchini Kenya kwakweli nimemuona Mungu akiniwezesha na kufanya kazi na watumishi wa aina mbali mbali lengo kuu ni watu waifahamu kweli ili wawekwe huru.
Endelea kumwonbea.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP