14 July 2012



PONGEZI KWA Strictly Gospel
 
Tunaipongeza Strictly Gospel kwa kufanikiwa kuwa ya kwanza katika uchaguzi wa kutafuta blog bora ya mwaka nchini, Blog ya Strictly Gospel imekuwa nafasi ya kwanza kwenye kipengere cha "Best Religion Blog" hii ni kwa mujibu wa website ambayo imeandaa shindano hilo Tanzanian Blog Awards.
Tunazo sababu zote za kuwapongeza, pia hata na wale wote wliohusika kuipigia kura. Zaidi ya yote, sifa na utukufu apewe Mungu kwa kila kinachofanyika kwa ajili ya kuliinua jina la Mungu katika blogu zetu za kikristo.
Tuzidi kuombeana, kushauriana na kuonyana pale tunapokesea ili mwili wa Kristo uzidi kujengwa na watu wakamjue Mungu kupitia blog zetu.

Amen.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP