Siku ya jumamosi jijini London
nchini Uingereza kumefanyika tukio kubwa la utolewaji wa tuzo za Africa Gospel
Music Awards(AGMA) 2012, tukio hilo ambalo watanzania wengi walikuwa na
matarajio ya kuona mwimbaji wao pekee aliyependekezwa kuwania tuzo hizo katika
vipengele viwili kushindwa kupata tuzo hizo kutokana na kura alizopigiwa kuwa
chache hivyo kuwapa mwanya waimbaji wengine aliokuwa akiwania tuzo hizo
kuondoka na tuzo hizo,
kuchelewa kuanza kuingia ukumbini pia asilimia
kubwa ya watu hata walipoingia ukumbi huo ulio chini ya
El shaddai Christian
Centre
waimbaji waliokuwa wakiimba
hawakuweza kuwafanya watu hao wasimame zaidi ya kufurahia huduma yao kwa
kuwapigia makofi mara walipomaliza kuimba. Shughuli hiyo ambayo iliongozwa na
washereheshaji (MC) wapatao wanne wakiwemo waimbaji kama Diana Hamilton,
Rebecca, Wole Awola na mwenzao ambaye ni mchekeshaji aliyeweza kuwavunja mbavu
kwa vicheko kutokana na lafudhi na vichekesho hivyo kuwahusu hasa watu kutoka
Afrika magharibi ambao walikuwa wameujaza ukumbi huo.
Mwanadada Emmy Kosgei kutoka nchini
Kenya
Emmy Kosgei kutoka nchini
Kenya
ambaye usiku huo alijishindia wimbo bora wa
mwaka ndiye aliweza kusimamisha watu waliokuwepo ukumbini hapo kwa jinsi
alivyoweza kuimba kwa ustadi nyimbo zake mbili ukiwemo Ololo ambazo kila wimbo
aliimba kwanza kwa CD kisha wanamuziki waliokuwepo kuendeleza live mara
ulipoisha kwakuwa hawakuweza kufanya mazoezi kabla, mwimbaji huyo aliweza kuwa
nyota usiku huo kwani baada ya tamasha nusu ya watu walioujaza ukumbi huo
walimzunguka kutaka kupiga picha naye pamoja na kuchukua mawasiliano yake.
Kundi la Makoma ambalo halikuweza
kupata tuzo yoyote usiku huo halikuweza kufika ukumbini hapo kwa wakati
kutokana na taarifa zilizopatikana baadaye kwamba walipata ajali wakiwa njiani
kuja ukumbini hapo ndio maana hawakufika ingawa walituma meneja wao pamoja na
mmoja wa waimbaji wa kundi hilo ambaye alisema Makoma wapo
vizuri.
waimbaji kama Emmy Kosgei wa Kenya, Solly Mahlangu wa Afrika ya kusini,
Rebecca, Sonnie Badu, Jabu Hlongwane, Joyous Celebration, Pastor Patrick Duncan
na waimbaji wengineo waliweza kuibuka na tuzo usiku wa kuamkia leo.
AGMA 2012 WINNERS
EVENT OF THE YEAR SPONSORED BY EAGLE ENTERTAINMENT
Joyous Celebration 16 Live Recording (South Africa)
RADIO PROGRAM OF THE YEAR SPONSORED BY LONDON CHRISTIAN RADIO
Indumiso- Ukozi FM
RADIO PRESENTER OF THE YEAR SPONSORED BY VOICE OF AFRICA RADIO
Anthony Ndiema- Kenya Fiifi Folson- Ghana
TV CHANNEL/ PROGRAM OF THE YEAR SPONSORED BY FAITH TV
One Gospel (South Africa)
TV PRESENTER OF THE YEAR SPONSORED BY OHTV Shoggy
Tosh
DISCOVERY OF THE YEAR SPONSORED BY G FORCE RADIO
PK Boadi-UK Prosper Mateva -Zimbabwe
AFRO JAZZ/ INSTRUMENTAL MUSICIAN OF THE YEAR SPONSORED BY AFROLINK Mike Aremu (Nigeria)
AFROGOSPEL RAP ARTISTE/GROUP OF THE YEAR SPONSORED BY KEEP THE FAITH MAGAZINE
Rooftop MCs (Nigeria) Andrew Bello (UK)
ARTISTE OF THE YEAR EAST AFRICA
Dawit Getachew- Ethiopia
ARTISTE OF THE YEAR WEST AFRICA SPONSORED BY MONEYGRAM
Frank Edwards-Nigeria
ARTISTE OF THE YEAR CENTRAL AFRICA SPONSORED BC3 MEDIA
Mike Kalambayi (Congo)
ARTISTE OF THE YEAR SOUTHERN AFRICA SPONSORED BY CONSTANCE BANQUET
Patrick Duncan
ARTISTE OF THE YEAR USA/CANADA SPONSORED BY MISS TEE
Yaw Osei-Owusu
ARTISTE OF THE YEAR AUSTRALIA/ASIA SPONSORED EAGLE ENTERTAINMENT
Disciple
ARTISTE OF THE YEAR EUROPE SPONSORED MEDIA MIND
Rebecca,
UK MUSIC PRODUCER OF THE YEAR SPONSORED BY PAULINE LONG BEFFTA
Wole Oni - (Nigeria) Billy Frank (Kenya)
GROUP/CHOIR OF THE YEAR SPONSORED BY Simply Chrysolite-South Africa
VIDEO OF THE YEAR
God Dey Bless Me- Cwesi Oteng – Ghana
SONG OF THE YEAR SPONSORED BY LYCA MOBILE
Ololo – Emmy Kosgei (Kenya)
ALBUM OF THE YEAR SPONSORED PREMIER GOSPEL
Colours of Africa- Sonnie Badu
(UK) FEMALE ARTISTE OF THE YEAR
Lara George- Nigeria
MALE ARTISTE OF THE YEAR
Solly Mahlangu-South Africa
AGMA SPECIAL AWARDS BEST CONTRIBUTION TO THE PROMOTION OF AFRICAN GOSPEL MUSIC
Voice of Africa Radio
Bola Mogaji Wole Oni
Premier Gospel BC3 Media
Jabu Hlongwane
John Mensah Sarpong
AGMA TRAILBLAZER AWARD
Sammie Okposo
Sonnie Badu Muyiwa Olarewaju
LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD
Rev. Benjamin Dube

0 comments:
Post a Comment