THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

30 December 2012

Naibu Waziri Wa Habari Akutana Viongozi na Wadau Wa Muziki na Filamu Nchini

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

29 December 2012

VIONGOZI WA CHAMUITA WAMTEMBELEA MZEE MAKASY

Viongozi wa Chama chamuziki wa injili Tanzania wakiongozwa na Mchungaji Cosmas Chidumule, wamemtembelea mzee Makasy ili kumjulia hali pamoja na kumkabidhi mchango kwa ajili ya matibabu. Mwimbaji huyo mkongwa na mshauri wa chama cha muziki wa injili Chamuita Tanzania, amekuwa akisumbuliwa na tatizo la macho. Viongozi waliomtembelea Mzee makasy ni: Addo November Mwasongwe, John shabani, Stella Joel pamoja na Mzee cosmas Chidumule. Endapo utaguswa...

27 December 2012

NEW YEAR MESSAGE TO MY FRIENDS

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

26 December 2012

PADRI wa Kanisa Katoliki Mjini Zanzibar amepigwa risasi

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

21 December 2012

HATMAYE ALBUM YA DEBORA SHABANI IKO TAYARI

Kwa wale wapenzi wa nyimbo za Debora Shabani, sasa album hiyo ijulikanoayo kwa jina la Amesikia kilio chako iko tayari kwa mfumo wa Audio huku tukiendelea na mchakato wa kutengeneza video. Unaweza ukaipata kwa bei ya jumla na rejareja. Mungu akubari...

20 December 2012

KONGAMANO LA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI l LATIKISA DAR ES SALAAM, PIA CHAMUITA WAIOMBA SERIKALI KUWABANA MAHARAMIA WA KAZI ZA MUZIKI

          Waimbaji mbalimbali na wadau wa muziki wa injili ndani ya ukumbi wa wanyama hotel sinza                                                                           ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP