22 June 2014

CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA CHASABABISHA MBEYA - NI MBEYA GOSPEL FESTIVAL

John Shabani na mwanamama Rachel sharp kutoka Sweden
Masanja akimkaribisha mkuu wa wilaya

Masanja, Ammy mwakitalu na John Shabani

 Watu wakikata shauri



 Mamia waokolewa


Baada ya siku mbili nje, sasa Mbeya gospel festival ikiwa inasubiriwa kwa hamu na wakazi wa mbeya ndani ya ukumbi wa mtenda sunset.....!!


Meza kuu ikiwa inaendelea kutafakali ndani ya mbeya gospel festival..kushoto ni John Shabani, katibu mkuu wa chama cha muziki wa injili Tanzania katikati ni mkuu wa wilaya ndugu Noman Sigalla na kulia ni Mh. Luvanda (Diwani – Njombe) mwenyekiti wa mipango wa chama



 Baadhi ya waimbaji katika picha

Mabisa sambamba na mfanya biashara Messy Chengula

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP