12 June 2012

CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI - CHAMUITA CHAINGIA ZANZIBAR


Tumaini Weston  - Mwakilishi wa Chama cha muziki wa Injili Zanzibar

Hatimaye chama cha muziki wa injili chapata wanachama Zanzibar.
Waimbaji wote wanaotaka kujiunga na Chamita wawasiliane na uongozi wa chamuita kwa namba 0719 082000, uliza Dada Tumaini Weston.

Tafadhali wasiliana na uonngozi wa Zanzibar. Jumapili hii waimbaji watakutana pale Darajani. Fomu kutoka makao makuu ya CHAMUITA yalioko Dar es salaam, zitatumwa hivi karibuni. Wanachama wote watatakiwa kujaza fomu wakiambatanisha na picha mbili tayari kwa ajili kutengenezewa kadi ya uanachama.

Kwa mawasiliano zaidi:
touchingvoice@yahoo.com

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP