23 June 2012

MWANAKWAYA KATIKA KUNDI LA JOYBRINGERS AHITIMU CHUO CHA NURSING



Bi Naomy

Mwanadada Naomy ni mmoja kati ya wimbaji wazuri katika kundi la Joybringers linaloongozwa na Teacher John Shabani.

Akiwa nwenye furaha Naomy na mamia ya wanzafunzi wenzake, leo wemehitimu course ya Nursing  katika shule ya ST. GLORY SCHOOL OF NURSING ya jijini Dar es salaam. John Shabani ni mmoja wa wageni walioalikwa katika sherehe hiyo ya mahafali

 Naomy akionyesha cheti

 John na bi Naomy
 Naomy na baadhi ya wanafunzi wenzake

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP