21 June 2012

TAARIFA: RAFIKI YETU RULEA SANGA ANAUGULIWA NA MAMA YAKE



RULEA SANGA, ALISAFIRI KWENDA MBEYA CHUNYA KUMUUGUZA MAMA YAKE.
Ninawaomba wadau  kumuombea mama yetu huyo,  kwani anaumwa sana,  haongei na hali yake ni mbaya sana.
Pia Rafiki Yetu Rulea anawashukuru wooote ambao wameendelea kuwaa pamoja na yeye kwa hali na mali.

Haya ni maneno ya Rafiki yetu Rulea:
Nawashukuru walionisaidia katika safari yangu kama Mchungaji Getrude Rwakatare (kwa maombi yako, Mungu akubariki sana mchungaji wangu), Billionaire (kwa mchango wako), Rosemary (kwa mchango wako na maombi yako), John Shabani na Emmanuel Mabisa (kwa jumbe zenu zenye kuleta faraja), Alex Kisonga (kwa faraja zako), Eve wa Double E (kwa moyo wako wa upendo wa kunitembelea nyumbani), Lister (kwa faraja zako, Mungu akubariki), Mzee Scina (kwa mchango wako), Alex (ninaishi naye kwa support yako), Odama (Jennifer Kyaka) kwa mchango wako na maneno ya kunifariji)), Macha (kwa faraja zako), Fadhili Emily wa Fadhaget Santarium Clinic (kwa mchango wako na neno lako la kunifariji) na wengine wengi pamoja na wewe unayepata habari hizi muda huu. Ukitaka kuwasilina na mimi piga +255 715 851523. 

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP